• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DARAJA LA MTO MBAWA KUKAMILIKA MUDA WOWOTE, MENEJA WA TANROAD RUVUMA AHAMISHIA OFISI MTO MBAWA

Posted on: February 20th, 2021


Daraja la mto Mbawa linalounganisha Kata ya Liuli na Lipingo Wilayani Nyasa, lililosombwa na Mvua  na kusababisha kukatika kwa mawasiliano, linatarajiwa kukamilika muda wowote kunzia jumapili ya Wiki hii.

Meneja wa Wakala wa Barabara mkoani Ruvuma Tanroads, Mhandisi Alinanuswe Lameck amethibitisha hayo jana wakati akiongea na mwandishi wa habari hizi akiwa eneo la Tukio, akiwa anahakikisha matengenezo ya daraja yanakamilika kwa haraka na huduma inarejea kwa Haraka.

Meneja huyo amefafanua kuwa Wiki hii yote yuko kwenye Daraja la Mto Mbawa,  na kazi walizofanya ni kutafuta chuma za Daraja na wamezikuta Zimepinda na Hazifai kutengenezea Daraja Hilo, Hivyo Wameenda kuchukua Chuma zingine Wilaya ya Tunduru na Tayari Zimeshafika na wameanza kazi Rasmi ya kutengeneza Daraja.

“Niko hapa Darajani ninaendelea na kazi za Ujenzi wa Daraja,  Tunategemea Siku ya Jumapili Wiki hii  Pikipiki zitaanza kuvuka na wakati wowote Daraja Litakamilika amesema Meneja huyo.

Kukamilika kwa Daraja Hilo kutafungua mawasiliano ya Barabara ya Mbamba bay Lituhi na kata zingine amba yalikuwa yamekatika baada ya Daraja Hilo kusombwa na maji.

Announcements

  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • ORODHA ya Watumishi wanaodai malimbikizo ya Mshahara February 08, 2023
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • TANGAZO LA KULIPA KODI YA ARDHI August 30, 2021
  • View All

Latest News

  • MV MBEYA II

    March 23, 2023
  • Wizara ya Afya yatoa mafunzo ya kuzuia na kupambana na magonjwa ya Mlipuko Wilayani Nyasa

    March 21, 2023
  • Nyasa yapewa milioni 800 Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

    March 21, 2023
  • Wananchi Nyasa waishukuru Serikali Kwa kufungua Barabara

    March 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yafunguka Kimataifa
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.