• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC. NYASA ATEMBELEA NA KUKAGUA VETA NYASA

Posted on: April 1st, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Isabela Chilumba, jana ametembelea na kukagua, Mradi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA, Wilaya ya Nyasa ambao uko hatua za Mwisho za ukamilishaji.

Mh. Chilumba amekagua mradi huu, akiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya, na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ya Nyasa.

Akizungumza mara baada ya kukagua Mradi huu, Mh Chilumba ameridhishwa na  maendeleo ya ukamilishaji wa Mradi huu, na kusema kuwa anamshukuru Mh. Rais kwa Mradi wa VETA Nyasa,na Viongozi wote na Wananchi kwa ujumla wa Wilaya ya Nyasa kwa Ushirikiano wao wa kutekeleza Mradi mkubwa  wa VETA.

“ Binafsi Nichukue Fursa hii kumshukuru Mungu kwa kufikia hapa, pia nimshukuru aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli kwa kutuletea Mradi huu, ambao ni mkubwa na unalengo la kutatua tatizo la Ajira kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa.Pia nashukuru Mh.Rais  Samia Suluhu Hasan na ninamhakikishia kuwa Wilaya ya Nyasa ina uwezo wa kutekeleza Miradi mikubwa ya Maendeleo”.

Aidha ametoa wito kwa wananchi wa wilaya ya Nyasa na Wilaya jirani, kutumia fursa ya Chuo cha Ufundi stadi cha Nyasa pindi kitakapoanza kutoa mafunzo ya Ufundi.

Kukamilika kwa Mradi wa chuo cha Ufundi Stadi Nyasa, Serikali imetatua changamoto ya Chuo cha Ufundi Stadi Wilayani hapa kwa kuwa awali hapakuwepo na chuo hiki na Iliwalazimu wananchi kutembea umbali wa Kilometa 165 kufuata vyuo vya Ufundi stadi Wilaya ya Songea.

Announcements

  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • ORODHA ya Watumishi wanaodai malimbikizo ya Mshahara February 08, 2023
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • TANGAZO LA KULIPA KODI YA ARDHI August 30, 2021
  • View All

Latest News

  • MV MBEYA II

    March 23, 2023
  • Wizara ya Afya yatoa mafunzo ya kuzuia na kupambana na magonjwa ya Mlipuko Wilayani Nyasa

    March 21, 2023
  • Nyasa yapewa milioni 800 Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

    March 21, 2023
  • Wananchi Nyasa waishukuru Serikali Kwa kufungua Barabara

    March 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yafunguka Kimataifa
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.