• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Dc Nyasa kutatua changamoto ya ukosefu wa Sekondari/mawasiliano kata ya Linga,Nyasa

Posted on: August 21st, 2023


MKuu wa Wilaya ya Nyasa mh.Filberto Sanga amesema Serikali Kwa kushirikiana na wananchi wa Kata ya Linga itatatua changamoto ya ukosefu wa shule ya  Sekondari na mawasiliano ya mtandao wa Simu za mikononi.

Ameyasema hayo hivi karibuni wakati akiongea na wananchi hao katika Viwanja vya mikutano uliofanyika katika Kijiji Cha Ngingama kata ya Linga Wilayani hapa.

MH.Sanga amefafanua kuwa amefika katika kata ya Linga Kwa lengo la kuwatembelea wananchi, kutangaza kazi za Serikali na kusikiliza na kutatua kero Za wananchi, hivyo ameona uhalisia kuwa Moja ya changamoto zinazowakabili wananchi ni ukosefu wa shule ya Sekondari na mawasiliano ya mitandao ya Simu.

Ameongeza kuwa kata hiyo ni kata pekee Wilayani Nyasa ambayo Haina  Sekondari ya kata, na wanafunzi wanatembea umbali mrefu kufuata Sekondari ya Lituhi, Hali ambayo inawakwaza wanafunzi kutopenda masomo au kusababisha utoro na kushuka kiwango Cha elimu.

Amesema changamoto nyingine ni ukosefu wa mawasiliano ya mtandao wa Simu, za mikononi hivyo amewaomba wananchi kuwa wavumilivu na Serikali itahakikisha inatatua changamoto hizo.

"Serikali itahakikisha inatatua changamoto ya ukosefu wa shule ya Sekondari na mawasiliano ya mtandao wa Simu za mikononi,Kwa kuwa Ninashirikiana vema na mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya kutatua changamoto hizi hivyo wanalinga muwe na subira wakati Serikali inajipanga kutatua changamoto hizi"

Awali wananchi walisema tayari wanaeneo la kujenga shule ya Sekondari na wako tayari kuchangia Ujenzi huu wa shule ya Sekondari,Kwa hiyo wameiomba Serikali kutatua changamoto hii ili kata ya Linga iwe na Maendeleo.

Aidha wameipongeza Serikali Kwa kutatua changamoto ya maji, Barabara, na mradi wa shule ya msingi muhurasi na vyoo vya shule ya msingi Ngingama.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wazindua Mtambo wa Hewa Tiba

    May 12, 2025
  • Mwenge wa Uhuru waridhishwa na miradi yote Nyasadc

    May 12, 2025
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.