• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DED Nyasa atembelea Miradi ya Maendeleo Kata ya Kingerikiti na Tingi

Posted on: March 31st, 2022

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya  Wilaya ya Nyasa ndugu Jimson Mhagama, Tarehe 31.03.2022 amefanya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo inayotekelezwa katika Kata ya Kingerikiti na Tingi, Tarafa ya Mpepo Wilayani Nyasa.

Katika Ziara hiyo aliambatana na Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Ndugu Jabir Chilumba na Mhandisi Ujenzi Chacha Nkoba.

Akikagua miradi hiyo amepata fursa ya kuongea na viongozi wa Kata,Vijiji na Kamati zinazotekeleza miradi hiyo ili kubaini changamoto zinazowakabili, wakati wa Utekelezaji wa Miradi hiyo ili aweze kuzitatua.

Akiongea na wananchi  wa kata za Kingerikiti wakati akitembelea Ujenzi wa jengo la Upasuaji, na Jengo la Mama na Mtoto ambao ujenzi wake uko hatua ya Msingi, wananchi hao wamempongeza Mkurugenzi huyo kwa kusimamia miradi ya maendeleo na kutatua changamoto zinazowakabili wananchi na kuwa karibu nao muda wote.

Aidha Mkurugenzi amewataka wananchi hao kutekeleza Mradi huo kwa viwango na kwa muda uliowekwa ili uweze kukamilika kabla ya Juni 30 mwaka huu ili uweze kutoa huduma kwa wananchi.

Katika Kata ya Tingi, ametembelea  Ujenzi wa Zahanati ya Lulimbo ambao uko hatua ya ukamilishaji na Katika Kijiji cha Malungu ametembelea Zahanati ya Malungu ambayo iko hatua ya Ukamilishaji  pamoja na ujenzi wa madarasa ya Shule ya Msingi Malungu na Ujenzi wa Vyoo katika Shule ya Msingi Tingi.Akiongea na wananchi wa kijiji cha Lulimbo na Malungu wananchi hao walimwambia Mkurugenzi kuwa  wanampongeza kwa kazi nzuri ya kutatua changamoto iliyokuwa inawakabili.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.