• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Ded Nyasa awataka wauguzi kutoa huduma Bora

Posted on: May 26th, 2024

Yaliyojiri Maadhimisho ya siku ya wauguzi,Wilayani Nyasa.

Halmashauri ya wilaya ya Nyasa, tarehe 25/05/2024 imeadhimisha siku ya wauguzi, maadhimisho yaliyofanyika katika Hospitali ya wilaya ya Nyasa kwa wauguzi kufanya matendo ya huruma,kuwaona wagonjwa na kuwapa zawadi mbalimbali.

Mgeni rasmi katika maadhimisho haya ni Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa Bw.khalid Khalif.

Akizungumza katika maadhimisho haya, bw.Khalifamewapongeza wauguzi kwa kwa kuitekeleza vizuri majukumu yao, na  kuwataka wauguzi kufanya kazi kwa bidii na kutoa huduma Bora kwa wananchi, Ili kutatua changamoto ya Afya na kuboresha sekta hiyo katika ngazi ya wilaya, mkoa na Taifa kwa ujumla.

Amefafanua kuwa kazi ya uuguzi ni kazi nyeti, ambayo inasimamia Afya, hivyo Kila muuguzi anatakiwa kusimamia kiapo chake, kwa kutoa huduma Bora kwa wananchi, Ili wawe na imani na Serikali  katika sekta ya Afya.

Ameongeza kuwa Serikali imefanya maboresho makubwa katika sekta ya Afya, kwa kujenga miundombinu ya majengo na Kununua Vifaa Tiba, hivyo basi wauguzi kama watoa huduma wanatakiwa kutoa huduma Bora Ili lengo la Serikali litimie.

Ametoa wito kwa wauguzi kuchapa kazi kwa bidii wakati Serikali inaendelea kutatua changamoto zinazowakabili.

Aidha amesema Wilaya ya Nyasa inaendelea kutatua changamoto za watumishi wa sekta ya Afya kwa kuomba kibali Cha kuajiri wauguzi na kujenga hoja ya watumishi wasiopandishwa madaraja kwa muda mrefu wapandishwe kwa mseleleko, pamoja na kuwalipa wauguzi masaa ya ziada watumishi hao, na amewataka wanajamii kuanzisha miradi ya Ujenzi wa nyumba za wauguzi Ili Serikali ikamilishe.


Awali wakisoma risala yao  kwa mgeni rasmi, wauguzi wamesema wanachangamoto ya kuchelewa kupanda Madaraja, upungufu wa nyumba za wauguzi,na kutolipwa masaa ya kazi ya ziada changamoto ambazo zimepokelewa na Mkurugenzi Mtendaji na kuahidi atazitatua.

Katika maadhimisho haya shughuli mbalimbali zimefanyika ikiwa ni pamoja na maandamano,ya wauguzi kutoka Nangombo mpaka Hospitali ya wilaya, kuwasha mishumaa kuonyesha upendo kwa wagonjwa na kuona wagonjwa na kuwapa mahitaji mbalimbali kama vile sabuni.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.