• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

HALMASHAURI YA NYASA YATOA MAFUNZO KWA MAAFISA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA

Posted on: August 7th, 2020

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa leo tarehe 07.08.2020 imeanza kutoa mafunzo ya siku tatu kwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi   Ngazi ya kata kwa Uchaguzi Mkuu  unaotarajiwa kufanyika 28  Oktoba,  2020.

Mafuzo hayo yanafanyika katika Ukumbi wa Cassim Majaliwa ulioko katika Shule ya Sekondari Mbambabay,  Wilayani hapa,  na yametolewa na Msimamizi wa Uchaguzi  jimbo la Nyasa Ndugu Jimson   Mhagama ambaye pia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa.

Akifungua Mafunzo hayo  Bw. Jimson Mhagama amewataka wasimamizi hao kujifunza na kuelewa vizuri,  mafunzo kwa kuwa yanalengo la kuwajengea uwezo wa kufanya kazi kwa kujiamini, na kutekeleza ipasavyo  majukumu ya Usimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata.

Bw Mhagama ameongeza kuwa washiriki wa mafunzo ya Usimamizi wa Uchaguzi wameteuliwa kwa kuaminiwa kuwa wanauwezo,  wa kusimamia majukumu haya ipasavyo,  hivyo wanakila sababu ya kujituma, kujiamini,  kwa kufuata Katiba ya Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Sheria ya Uchaguzi, Maadili na Maelekezo ya Tume ya Uchaguzi ili kuweza kusimamia uchaguzi katika Maeneo yao.

“Ndugu washiriki mafunzo haya ni ya muhimu sana kwa kuwa yana lengo la kutujengea uwezo wa kutekeleza majukumu yetu katika kipindi cha uchaguzi hivyo tunatakiwa kuwa makini, tuyasikilize na tukayafanyie kazi kwa lengo la kutekeleza majukumu yetu ipasavyo.

Aidha amewaagiza wasimamizi hao wa Uchaguzi ngazi ya Kata, kuvishirikisha vyama vya siasa na wadau wa Uchaguzi kwa kila jambo , wanalotakiwa kushirikishwa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na wa haki. Pia aliwakumbusha wanatakiwa kuijua miundombinu yote katika maeneo yao na jinsi ya kuifikia kwa harak katika Vituo vyote vya kupigia kura ili watekeleze majukumu yao Vizuri.

 Katika hatua nyingine Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya kata walipewa kiapo cha kutunza siri pamoja na Tamko la kujitoa uanachama wa chama cha siasa. Hii ni kwa matakwa ya Kanuni ya 16(1)(a) na 50(4) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge,2020 na Kanuni ya 14(1)(a), na(2) na 43(4) ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Uchaguzi wa Madiwani) ikisomwa

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.