• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

HALMASHAURI ya Nyasa yazindua TV Mtandao,Mbunge Manyanya aahidi Makubwa Nyasa

Posted on: July 7th, 2022

Yaliyojiri Ufunguzi wa Nyasadc Online Tv TAREHE 07.07 2022

Halmashauri ya Nyasa imezindua Rasmi Televisheni Mtandao yenye lengo la kutangaza miradi ya maendeleo, na Shughuli mbalimbali zinazofanyika katika Wilaya ya Nyasa.

Uzinduzi  umefanyika katika katika Hoteli ya Sun Set Mbamba bay, Wilayani Nyasa na Kuhudhuriwa na wakuu wa Taasisi,Idara watumishi na wananchi mbalimbali Wilayani Hapa.

Mgeni Rasmi katika Hafla hiyo ni Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya, Ambaye ndiye mfadhili wa Nyasadc Televisheni Mtandao, amesema Lengo la Kuanzisha Televisheni Mtandao ni kutoa kwa uwazi kazi mbalimbali zinazofanyika Wilayani Nyasa ili kuwahabarisha Wananchi na kuwataka wananchi kuitumia Televisheni  kwa kuona kazi mbalimbali zinazotekelezwa kwa wakati Wilayani Nyasa.

Amewataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kujivunia kuwa, kuwa Nyasa inakuwa kwa kasi toka Barabara na umeme vifike wilayani hapa, hivyo amewataka wawekezaji kuja kuwekeza Nyasa kwa kuwa kuna Fukwe nzuri na Vivutio Vingi Vya Utalii, Kama Ziwa Nyasa,Samaki wa Mapambo na vivutio vingine.

Mhandisi Manyanya ameongeza kuwa upatikanaji wa Taarifa  ni takwa la Kisheria Hivyo ameagiza Habari za Kata zote, Wilaya ya Nyasa Zitangazwe kwenye Vyombo vya Habari na kuhakikisha kuwa kunakuwa na Habari Mchanganyiko.

Amempongeza Rais Suluhu Samia Hassan kwa kuharakisha maendeleo Wilayani Nyasa na kujali sekta ya mawasiliano kwa kuanzisha Vitengo vya mawasiliano katika Halmashauri ,hivyo anamuunga mkono.

Aidha amesema sio kuandika Habari za kusifia mambo mazuri, pia   yuko tayari kupokea Habari mbalimbali zenye changamoto ili aweze kuzitatua.

Ameahidi kuboresha Chumba cha Habari(Studio ya Kisasa) kununua Kamera za kisasa na Kununua Pikipiki kwa ajili ya Kitemgo cha Mawasiliano Serikalini Wilayani Nyasa.

Wakuu wa Taasisi,Idara na Vitengo wamesema kuwa Televisheni hiyo Mtandao itawasaidia kikamilifu kutangaza miradi yao kwa kuwa walikuwa hawana televisheni Mtandao.

Kaimu Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Berndad Semwaiko naye amempongeza Mbunge kwa juhudi zake za kuhakikisha Halmashauri ya Nyasa inakuwa na Televisheni Mtandao na Kumuagiza Afisa Habari wa Wilaya ya Nyasa Netho Sichali Kuhakikisha kuwa Habari zote zinawafikia wananchi wa Kata zote.

Ukitaka kuitazama Nyasa On Line Tv bonyeza Hapa

https://www.youtube.com/channel/UC7ZPe00xVRGsBcgYC9mqqXQ

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wazindua Mtambo wa Hewa Tiba

    May 12, 2025
  • Mwenge wa Uhuru waridhishwa na miradi yote Nyasadc

    May 12, 2025
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.