• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA KUGAWA MBOLEA KWA VIKUNDI VITATU VYA UMWAGILIAJI IKIWA NI SEHEMU YA ASILIMIA 10 MCHANGO WAKE KWA WANAWAKE NA VIJANA..

Posted on: August 18th, 2018

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa inatarajia kugawa mbolea kwa Vikundi Vitatu vya umwagiliaji katika bonde la Lundo vinavyojishughulisha na kilimo cha Mpunga hapo tarehe 20-08-2018.

Akizungumzia zoezi hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Dkt. Oscar Albano Mbyuzi amesema kwamba katika kuhakikisha uzalishaji wa Mpunga Wilayani Unaongezeka wameamua kutoa Mifuko ya Mbolea 120 kwa vikundi vitatu (Mama Nilee, Upendo na Mwongozo Vijana) vya kilimo cha Mpunga ikiwa ni sehemu ya uchangiaji wa asilimia 10 ya Mapato yake kwa Wanawake na Vijana kama Miongozo na taratibu Mbalimbali za Bajeti zinavyotaka kwa kuanzia katika Bonde la umwagiliaji la Lundo ili kuongeza hamasa kwa vikundi vingine kuiga mfano wa vikundi hivyo ambavyo vimekuwa vikiongoza kwenye uzalishaji wa zao hilo Wilayani na hivyo kuipa Halmashauri uhakika wa kupata Mapato ya kutosha.  

Aidha Dkt.Mbyuzi aliwataka wananchi wa Lundo na Vitongoji vya jirani kujitokeza kwa wingi katika eneo la ugawaji ili pia kupata Nasaha na maneno ya Viongozi wa Wilaya na kupata uelewa mpana wa namna Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais wetu Mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli ilivyodhamilia kuwaondolea wananchi wake umasikini na kuifanya Tanzania kuwa Nchi ya Viwanda.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Mhandisi Stella Manyanya yatatua kero ya wanafunzi kutembea km 30 kufuata shule ya Sekondari

    June 07, 2023
  • Tunaimani na Serikali, wananchi wa Kata ya Mtipwili na Chiwanda

    June 07, 2023
  • Dc Nyasa atembelea miradi ya Boost awataka mafundi kukamilisha Kwa wakati na ubora

    June 05, 2023
  • Mbunge Manyanya aridhishwa na Kasi ya ukuaji wa Utalii Wilayani Nyasa

    June 05, 2023
  • View All

Video

NYASA yampongeza Rais SAMIA jengo jipya la Utawala
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.