• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Ifahamu Shule pekee ya Glorious day anda nursery school inayotoa Elimu bora kwa watoto Mbamba bay

Posted on: December 8th, 2022

Shule ya chekechea ya the Glorious Day care and Nursery School ya mbamba bay wilayani Nyasa tar 08/12/ 2022 imefanya mahafali ya tatu ya shule hiyo katika Ukumbi wa Bay Live uliopo Mbamba bay Wilayani Nyasa.

Mgeni Rasmi katika Mahafali alikuwa  Kaimu Afisa maendeleo ya Jamii Wilayani Nyasa Ndugu Malimi Mabondo, aliyewataka wazazi kuwaheshimu walimu na kuwalea watoto kwa kuwapa, haki watoto ili waweze kuwa Taifa imara.

Malimi amefafanua kuwa watoto wanatakiwa kupata Lishe bora, ili waweze kuwa na afya bora itakayowasaidia kupata elimu bora na kuwataka wazazi kushirikiana na walimu badala ya kuwalaumu walimu wanapotoa adhabu kwa wananfunzi.

Ameongeza kuwa hata vitabu vya mungu vinaagiza watoto wanatakiwa kupambana na kupata elimu na wazazi kuhakikisha watoto wanapata Elimu bora, bila kusahau Lishe bora.

Awali akitoa neno fupi Mkurugenzi wa Shule hiyo Ezekia amesema shule hiyo inawanafunzi 62 inatoa huduma ya elimu na malezi ya watoto wenye umri wa miaka 2 hadi 5 kwa Kata za Mbamba bay na kilosa kwa Lugha ya Kiingereza. Na am,ewataka wakazi wa kata hizo kutumia fursa za elimu bora inayotolewa katika shule hiyo.

Announcements

  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • ORODHA ya Watumishi wanaodai malimbikizo ya Mshahara February 08, 2023
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • TANGAZO LA KULIPA KODI YA ARDHI August 30, 2021
  • View All

Latest News

  • MV MBEYA II

    March 23, 2023
  • Wizara ya Afya yatoa mafunzo ya kuzuia na kupambana na magonjwa ya Mlipuko Wilayani Nyasa

    March 21, 2023
  • Nyasa yapewa milioni 800 Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

    March 21, 2023
  • Wananchi Nyasa waishukuru Serikali Kwa kufungua Barabara

    March 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yafunguka Kimataifa
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.