• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

KAMATI ya siasa CCM Wilaya ya Nyasa yaridhishwa na Miradi yampongeza Mkurugenzi Mtendaji .

Posted on: July 23rd, 2021

Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Nyasa, Jana imefanya ziara ya kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo 4  wilayani Hapa na kuridhishwa na maendeleo ya Miradi hiyo.

Miradi Iliyotembelewa ni Ujenzi wa Ujenzi wa Matundu Saba ya Vyoo na kuona jinsi huduma za afya zinavyotolewa kwa wananchi, katika Kituo cha Afya Mbamba Bay, Mradi wa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa, Mradi wa Maji Ukuli Kingerikiti, na Mradi wa Maji wa Kijiji cha Lundo Kata ya Lipingo.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Nyasa Krodvic Duwe ambaye ni Mkuu wa Msafara wa Ziara hiyo amesema lengo la Ziara hiyo ni wajumbe waweze kutembelea na kukagua miradi ya Maendeleo ambayo inalenga kutatua changamoto za wananchi  kwenye sekta za afya, Maji na Utawala.

Duwe katika Majumuisho ya Ziara hiyo, amesema kamati ya Siasa Wilaya ya Nyasa Imeridhishwa na kasi ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo,  na kutoa pongezi  kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas, Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa, Bw. Jimson Mhagama na Mbunge wa Jimbo la Nyasa kwa Kutekeleza Miradi hiyo kwa Ufanisi.

Akiwa katika Kituo cha afya Mbamba bay, alikagua ujenzi wa Vyoo wenye lengo la kutatua changamoto ya Upungufu wa Vyoo na kuridhishwa na hatua ya Utekeleza wake na kamati ilipata fursa ya kuongea na baadhi ya weagonjwa na wananchi, waliokuwepo maeneo ya Kituo cha afya na wakasema wanaridhishwa na huduma zinazotolewa na watumishi wa Afya, Kituo cha Afya cha Mbamba Bay, na kuupongeza uongozi wa Wilaya kwa kuboresha na kutoa Huduma Bora kwa Wananchi.

Katika Mradi wa  Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa, Kamati Pia Imeridhishwa na Ujenzi huo ambao umefikia hatua ya kukamilika kwa boma na Kumtaka Mh. Mbunge  wa Jimbo la Nyasa kufuatilia kwa uKaribu Fedha za kumalizia Ujenzi .

Katika Miradi ya Maji ya Ukuli Kingerikiti kamati imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan,  na Wizara ya Maji kwa kutatua changamoto kubwa iliyokuwa inawakabili wananchi wa Ukuli Kingerikiti, kwa kutoa fedha za ujenzi na Ukarabati wa Mradi huo na kwa sasa wananchi hawana kero ya maji na wanafurahia huduma hiyo.

Katika Mradi wa Maji wa Kijiji cha lundo Kata ya Lipingo kamati imejionea kwa Dhati Serikali ilivyotatua kero ya maji katika Kata ya Lipingo mradi ambao utamaliza kero ya maji Katika Kata hiyo na imemtaka meneja wa RUWASA Mhandisi Evaristo Ngole, kusambasa maji hayo katika kata ya Lipingo na  Liuli kwa kuwa maji ni Mengi yatakayokidhi walaji wa Kata ya Lipingo na ziada kubaki.

Ziara hiyo Imeambatana na Viongozi Wafufatao Mbunge wa Jimbo La Nyasa, Mhandisi Stella Manyanya, Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, kanali  Laban Thomas na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa Bw Jimson Mhagama.

Imeandaliwa na Netho C. Sichali

Afisa Habari Nyasa Dc.

Announcements

  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • ORODHA ya Watumishi wanaodai malimbikizo ya Mshahara February 08, 2023
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • TANGAZO LA KULIPA KODI YA ARDHI August 30, 2021
  • View All

Latest News

  • MV MBEYA II

    March 23, 2023
  • Wizara ya Afya yatoa mafunzo ya kuzuia na kupambana na magonjwa ya Mlipuko Wilayani Nyasa

    March 21, 2023
  • Nyasa yapewa milioni 800 Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

    March 21, 2023
  • Wananchi Nyasa waishukuru Serikali Kwa kufungua Barabara

    March 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yafunguka Kimataifa
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.