• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MAMLAKA ya Bandari Tanzania yaendelea kulipa fidia wananchi wa kitongoji cha Zambia,kupisha Ujenzi wa Barabara,Bandari ya Mbamba bay

Posted on: July 4th, 2024

Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) inaendelea kulipa fidia Wananchi wa Kitongoji cha Zambia, Kata ya Mbamba bay, ili kupisha ujenzi wa Barabara, kuzunguka ujenzi wa Bandari ya Mbamba bay unaoendelea Wilayani hapa.

Mthamini wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bi Sakina Mmaka ameyasema hayo wakati akitoa elimu katika Mkutano wa hadhara, wa wakazi wa kijiji hicho uliofanyika katika Kitongoji cha Zambia hivi karibuni Wilayani hapa.

Akiongea na wananchi katika Mkutano huu bi sakina amesema lengo la mkutano huo ni kutoa elimu kwa wananchi na sharia ikoje kuhusu utwaaji wa ardhi na kuwatangazia kuwa wananchi wanatakiwa kuwa tayari kupisha ujenzi huu wa barabara kwa kuwa ni maendeleo ya Nchi.

Hivyo ametoa wito kwa wananchi kuwa, wanatakiwa kukagua na kuorodhesha mali zao ambazo zipo katika maeneo ya ujenzi wa barabara na makaburi, ambayo yatatakiwa kuondolewa, hivyo kila mwananchi atatakiwa ajue idadi ya makaburi ya ndugu walkiozikwa, ili waweze kulipwa fidia na kuhamisha mabaki ya wapendwa wao kwa kulipwa fidia na Mamlaka ya Bandari Tanzania.

Wananchi wa Kitongoji cha Zambia mara baada ya kupata Elimu wamesema, wanampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha za ujenzi wa Bandari ambayo itawanufaisha wananchi, hivyo sisi kama wananchi tunamuunga mkono na mpaka hapa tulipofikia kila hatua tunashirikiana kikamilifu na hakuna changamoto.

Kwa Upande wake mamlaka ya bandari Tanzania imesema tayari kiwango cha Fidia kilishatengwa na mara baada ya Uthamuni kukamilika wananchi wote watalipwa ipasavyo.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wazindua Mtambo wa Hewa Tiba

    May 12, 2025
  • Mwenge wa Uhuru waridhishwa na miradi yote Nyasadc

    May 12, 2025
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.