• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Mbunge Manyanya aridhishwa na Kasi ya ukuaji wa Utalii Wilayani Nyasa

Posted on: June 5th, 2023

Mbunge wa Nyasa Mhe. Eng. Stella Manyanya ameeleza kuridhishwa kwake na Kasi ya ukuaji wa Utalii  katika Wilaya ya Nyasa baada ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kuanza kusimamia vivutio vya Utalii katika Wilaya hiyo.


Ameyasema hayo leo Juni 5, 2023 akichangia hoja ya bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii Kwa Mwaka wa fedha 2022/23 katika Mkutano wa 11 kikao cha 39 cha bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma


".. Sasa hivi Wilaya ya Nyasa inakuwa vizuri kiutalii lakini tumehamasishwa Kwa muda mrefu, wadau wamekuwa hawajitokezi sana, sasa hivi wametokea TAWA ambao wameichukua mlima mbambabay. tumbi na kile kisiwa cha Lundo" amesema


" tunashukuru wameanza kazi nzuri na tayari boti limeshaenda kupeleka watalii Lundo" amesisitiza


Aidha ameiomba Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia TAWA iendelee kuelekeza nguvu zake katika Wilaya ya Nyasa Ili kuhakikisha Utalii unakua zaidi

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • NYASA bila ukatili inawezekana

    September 26, 2023
  • Dc Nyasa atembelea miradi ya Afya

    September 25, 2023
  • Kituo Cha Afya Kingerikiti

    September 25, 2023
  • Dc Nyasa apongezwa na wananchi utatuzi wa kero

    September 22, 2023
  • View All

Video

JENGO JIPYA LA UTAWALA NYASADC
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.