• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MKURUGENZI MTENDAJI NYASA ,AKAGUA UJENZI WA BWENI LA MONICA MBEGA SEKONDARI MBAHA

Posted on: September 18th, 2020

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw. Jimson Mhagama Akiwa na Timu ya Wataalam ametembelea na kukagua Mradi wa bweni la  Wasichana, unaojengwa Shule ya Sekondari Monika Mbega iliyoko Kata ya Mbaha Wilayani Nyasa.

Mradi huo uko katika ngazi ya msingi.

Serikali imepeleka Tsh milioni 80, kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bweni hilo.

Akikagua mradi mradi amewataka wananchi kushiriki kikamilifu kutekeleza mradi.

Mradi huu unatarajiwa kukamilika mwezi desemba mwaka huu.

kukamilika kwa mradi huu, kutatatua changamoto ya wanafunzi wa kike waliokuwa wanatembea umbali mrefu na kukutana na vishawishi mbalimbali, hivyo wataongeza muda wa kujisomea na kupandisha ufaulu.

Awali shule hiyo haikuwa na bweni la Wasichana hivyo walikuwa wanatumia baadhi ya madarasa mawili kuishi kwa wanafunzi wa madarasa ya mitihani yaani Kidato cha pili na nne, ili kijisomea.

Mkurugenzi huyo amewataka kuharakisha ujenzi huo kwa kuwa fedha zipo na amemshukuru Rais John Magufuli kwa kutatua changamoto hiyo.

Wataalamu alioambatana nao ni Ofisa Mipango Bw Jabir Chilumba, Ofisa Elimu Skondari Yona Mwaisaka, Ofisa Elimu Msingi Bw Said Kalima na Mhandisi wa Ujenzi Bw Chacha Nkoba.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.