• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

RUWASA NYASA YATATUA KERO YA MAJI KIJIJI CHA CHIMATE

Posted on: March 29th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Isabela Chilumba, hivi karibuni, ameweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji Kijiji cha Chimate,  utakaohudumia Wananchi zaidi ya 2798 Wilayani Nyasa.

Mradi huu  umefikia asilimia 85  ya ukamilishaji wake,  na Vituo kumi vya maji vimeshaanza kutoa maji na wananchi wananufaika na huduma ya maji safi na salama, na  mpaka kukamilika kwake, Mradi unatarajia kugharimu milioni 390,870,000 Fedha ambazo zimetolewa na Serikali kupitia Mradi wa EP4R.

Akiweka Jiwe la Msingi Mh.Chilumba amewapongeza Ruwasa Mkoa wa Ruvuma na Wilaya ya Nyasa kwa Mradi Mzuri ambao baada ya kukagua ameridhishwa na Ufanisi wa mradi huo kwa kuwa, Mpaka anaweka jiwe la Msingi Mradi unatoa huduma kwa Wananchi, na kuwataka waendeleze juhudi hizo na kuhakikisha wanamaliza Kero ya ukosefu wa maji Wilayani hapa.

Aidha ametoa wito kwa wananchi wa Kijiji cha Chimate kutunza Miundombinu ya Maji ili iweze kuwanufaisha kwa miaka mingi na kutoharibu vyanzo vya maji.

Kwa upande wao, Wananchi wa Kijiji cha chimate Wameipongeza Serikali kwa Kuwajengea Mradi huo ambao umetatua kero ya Maji katika Kijiji hicho kwa Kuwa awali hapakuwa na Huduma ya Maji safi, hali ambayo iliwalazimu kutembea umbali wa takribani kilometa 5 hadi 10 kufuata maji,katika Vyanzo vya asili.

Awali Akitoa Taarifa fupi ya Mradi wa maji kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mhandisi Jeremia Maduhu amesema Ruwasa Nyasa Imetekeleza mradi huo kwa njia ya Force account na kufanikiwa, kutekeleza mradi huo kwa kuwa mpaka sasa umefikia asilimia 85 na unatarajia kukamilika April 15 mwaka huu.

Amezitaja kazi zilizofanyika ni pamoja na ujenzi wa Temki jipya,  lenye ujazo wa lita 75,000, Ujenzi wa Vituo vya kuchotea maji 18, na Tayari vituo 10 vimeshaanza kutoa huduma ya maji safi kwa wananchi na ujenzi wa mtandao wa bomba za kusambazia maji kilometa 18.53,  kazi ambayo imefanyika na iliyobaki ni kuunganisha ili vituo nane vilivyobabi viweze kutoa huduma ya maji kwa Wananchi wa Kijiji cha Chimate Wilayani Nyasa.

Announcements

  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • ORODHA ya Watumishi wanaodai malimbikizo ya Mshahara February 08, 2023
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • TANGAZO LA KULIPA KODI YA ARDHI August 30, 2021
  • View All

Latest News

  • MV MBEYA II

    March 23, 2023
  • Wizara ya Afya yatoa mafunzo ya kuzuia na kupambana na magonjwa ya Mlipuko Wilayani Nyasa

    March 21, 2023
  • Nyasa yapewa milioni 800 Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

    March 21, 2023
  • Wananchi Nyasa waishukuru Serikali Kwa kufungua Barabara

    March 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yafunguka Kimataifa
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.