• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

TAKUKURU RUVUMA YAOKOA FEDHA ZA UMMA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 134

Posted on: January 24th, 2020

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma imefanikiwa kuokoa fedha za umma zaidi ya shilingi 134 zilizokuwa zimefanyiwa ubadhirifu.

Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yustina Chagaka akitoa taarifa ya utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa wanahabari mjini Songea katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2019,amesema fedha hizo zilifujwa kwenye vikundi vya ushirika kwa njia nyingine za rushwa.

Chagaka amesema kati ya fedha hizo,zaidi ya shilingi milioni 122 zimewekwa kwenye akaunti maalum ya serikali iliyopo Benki Kuu ya Tanzania(BOT)  na kwamba kati hizo zaidi ya shilingi milioni 118 ni marejesho ya iliyokuwa Benki ya wananchi wa Mbinga(MCB).

Kwa mujibu wa Mkuu huyo wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma,shilingi 1,908,000 ni marejesho ya fedha zilizokuwa  zimefujwa kupitia semina hewa iliyofanyika wilayani Namtumbo na shilingi 1,410,103.80 ni marejesho ya fedha za vipimo(Material Test) zilizofujwa kwenye mradi wa ujenzi wa barabara ya NMB-Makalavati kwenye wilaya ya Madaba.

Fedha zingine zilizookolewa amezitaja kuwa ni  ni kiasi cha zaidi ya milioni 12 walizorejesha wananchi kati ya fedha hizo kupitia vyama vya Ushirika-AMCOS,shilingi milioni 9.84,walalamikaji katika Kata ya Kagugu shilingi 145,000 na walalamikaji wilayani Songea shilingi 2,100,000.

“Katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2019  TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma imepokea jumla ya taarifa 86 kutoka kwa wananchi kupitia vyanzo mbalimbali,Idara zilizoongoza ni Ardhi malalamiko 16,TAMISEMI 10,Taasisi za fedha 9,Poilisi 7,Elimu 7,Vyama vya Ushirika 6 na Afya 4’’,alisema Chagaka.

Kulingana na Chagaka idadi ya kesi zilizofunguliwa katika kipindi hicho ni 12 ambazo washitakiwa wake wanatoka katika Idara za Elimu,Polisi,Maji,Mifugo,Uvuvi,Serikali ya kijiji na TAMISEMI na kwamba kesi mpya tano zilifunguliwa katika Mahakama mbalimbali mkoani Ruvuma.

TAKUKURU ni chombo kilichopewa dhamana kwa mujibu wa sheria na kuzuia na kupambana na Rushwa namba 11,2007 ya kuongoza vita dhidi ya rushwa na ufisadi nchini.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.