• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

TALGWU Ruvuma yawafariji Wagojwa kituo cha Afya Mbamba bay

Posted on: March 8th, 2023

Chama cha wafanyakazi Serikali za mitaa (TALGWU) kupitia idara ya ushauri wanawake wafanyakazi  Mkoa wa Ruvuma ( kamati KE) Tarehe 08/032023 wametembelea Kituo cha Afya Mbamba bay na kufanya matendo ya Huruma kwa kugawa Vifaa mbalimbali, kwenye wodi ya wazazi na watoto wanaoishi katika Mazingira hatarishi.

Mwenyekiti kamati ya ushauri wanawake wafanyakazi Mkoa wa Ruvuma Bi Anna Mputa, akiwa na wanachama wengine wamekabidhi vifaa hivyo kwa Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Mbamba bay Wilayani Nyasa.

Akizungumza wakati anakabidhi, amesema Chama hicho katika Kusheherekea Sikukuu ya Wanawake Duniani wanatambua, Mchango mkubwa wa akina mama katika kuendeleza Taifa la Tanzania ndipo, wakachukua hatua ya kukabidhi Vifaa hivyo ikiwa ni matendo ya Huruma ya kuthamini mchango wa wanawake katika jamii.

Ameitaja mchango aliokabidhi ni Sabuni ya unga, sabuni ya kufulia,Juice na mafuta ya kupaka katika wodi ya wazazi na watoto wanaoishi katika Mazingira Hatarishi.

Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Mbamba bay Dkt Happiness Cheche, amepokea na kukishukuru  Chama cha (TALGWU) kwa kuja kuwaona akina mama hao na kutoa zawadi mbalimbali amewataka wadau wengine kuiga mfano huu kwa kuja kuwatembelea wagojwa mbalimbali kwani wanafarijika.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.