• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

TIMU YA UMISETA YAAGWA NYASA

Posted on: May 31st, 2019


Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa Jimson Mhagama ameiaga timu ya michezo ya Wilaya ya Nyasa kwa wanafunzi wa shule za Sekondari kwa kuwataka warudi na ushindi ili kuitangaza vema Wilaya ya Nyasa.

Aliwaaga jana katika viwanja vya ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa wakati Timu hiyo ikiwa na wachezaji 43 wa timu ya mpira wa miguu,pete,wavu na Riadha na walimu sita wakiambatana na Ofisa Taaluma Denis Katumbi,Ofisa michezo Frorence Msua na Ofisa Elimu Yona Mwaisaka amabaye ndiye mkuu wa msafara, unaoelekea manspaa ya Songea kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Umiseta kwa ngazi ya Mkoa wa Ruvuma .

Mhagama alifafanua kuwa anawataka wanafunzi hao waende katika mashindano ya Umiseta na kuitangaza vema Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kwa kurudi na ushindi kwa kila mechi watakayokuwa wanacheza kwa kucheza kwa juhudi na maarifa na wakisharudi kutoka kwenye michezo hiyo wakazane kusoma kwa kuwa elimu ni ufunguo wa maisha .

“wanamichezo muone kuwa ni fahari kubwa kuchaguliwa kucheza michezo hii kwa ngazi ya Wilaya hivyo michezo inajenga urafiki kufahamiana na upendo,nawataka muende mkaiwakilishe vema Wilaya ya Nyasa kwa kushinda kila mechi mtakayokuwa mnacheza na mkirudi huko msome kwa bidii kwa kuwa elimu ni ufunguo wa maisha”

Awali,akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa, Ofisa elimu Sekondari Wilaya ya Nyasa Yona mwaisaka alisema Timu hiyo imefanya maandalizi ya kutosha na hawana shaka watafanya vizuri katika Mashindano hayo ya Umiseta yanayofanyika Kimkoa katika Manspaa ya Songea.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wazindua Mtambo wa Hewa Tiba

    May 12, 2025
  • Mwenge wa Uhuru waridhishwa na miradi yote Nyasadc

    May 12, 2025
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.