• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Visiwa vitatu Ziwa Nyasa vinavyofungua fursa ya Utalii Nyasa.

Posted on: August 3rd, 2024

VISIWA VITATU VINAVYOFUNGUA FURSA YA UTALII NYASA

 Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma imejaliwa kuwa na vivutio adimu vya utalii vikiwemo visiwa vitatu vya ziwa Nyasa vinavyoipamba wilaya hiyo kiutalii.

 Visiwa hivyo ni Pamoja na kisiwa cha Mbambabay,Lundo na Puulu, ,ambavyo  vimekuwa na sifa na historia nyingi ambazo zikitangazwa vizuri zitachangia kukuza utalii kwa kuvutia watalii wa ndani na nje.

“Visiwa hivi kila kimoja kimekuwa na sifa ya pekee; kisiwa cha Mbambabay kina sifa ya kuwa na mapango ambayo wavuvi hujihifadhi wakati wa dhoruba kali,samaki wa mapambo pia wanapatikana katika kisiwa hicho.


 Kisiwa cha Lundo kina historia ya kuishi wagonjwa wa ukoma waliotengwa na jamii na makaburi ya wagonjwa hao ambao walizikwa kwenye tope au kwa kugandikwa tope kwa imani kwamba wakifanya hivyo wangetokomeza ugonjwa huo.

 Kisiwa kingine kinaitwa Puulu ambacho kipo Kata ya Liuli kimebarikiwa  kuwa vivutio mbalimbali ikiwa na mazalia ya Samaki wa aina mbalimbali wakiwemo Samaki wa mapambo na makazi ya ndege maarufu duniani anayeitwa ngwazi mwenye uwezo wa kuvua Samaki.

kivutio kingine maarufu ni uwepo wa jiwe la Pomonda lina pango kubwa ambalo linaweza kuhifadhi watu zaidi ya 100.Jiwe hilo wakati huo lilitumika kujificha wakati wa vita na wavuvi kujihifadhi dhoruba inapozidi,jiwe hili pia ni eneo zuri ambalo hutumiwa na waogeleaji kwa ajili ya kujirusha wakati wa mchezo wa kuogelea.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wazindua Mtambo wa Hewa Tiba

    May 12, 2025
  • Mwenge wa Uhuru waridhishwa na miradi yote Nyasadc

    May 12, 2025
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.