• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WADAU WA UCHAGUZI WAPEWA MAELEKEZO NYASA

Posted on: September 23rd, 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa  leo Septemba  23 mwaka huu,  imetoa maelakezo ya uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa wadau mbalimbali wa Uchaguzi katika ukumbi wa Kepteni John Komba Mjini Mbama-bay Wilayani hapa.

 Akitoa maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika novemba 24 mwaka huu, Msimamizi wa uchaguzi Wilaya ya Nyasa BW. Jabir Chilumba aliwataka wadau hao kuyaelewa maelekezo ya uchaguzi ikiwa ni kanuni ya uchaguzi wa serikali za mitaa,   namba tisa kifungu cha 1 na  2 chenye lengo la kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki na unafanyika kwa Amani na utulivu.

  Wadau  waliopata maelekezo,  ni  viongozi wa dini,viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa ,na viongozi wa serikali za mitaa  waliopo madarakani.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • NYASA bila ukatili inawezekana

    September 26, 2023
  • Dc Nyasa atembelea miradi ya Afya

    September 25, 2023
  • Kituo Cha Afya Kingerikiti

    September 25, 2023
  • Dc Nyasa apongezwa na wananchi utatuzi wa kero

    September 22, 2023
  • View All

Video

JENGO JIPYA LA UTAWALA NYASADC
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.