• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WATUMISHI,WAFANYABIASHARA, WAFURAHIA MEI MOSI KUFANYIKA WILAYANI NYASA.

Posted on: May 2nd, 2021

YALIYOJIRI MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI MKOA WA RUVUMA, YALIYOFANYIKA WILAYANI NYASA.

Maadhimisho yalianza kwa maandamano ya amani, yaliyoanzia uwanja wa Polisi mjini mbamba bay na kupita stand ya mbamba bay hadi viwanja vya fisheries .

Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Isabela Chilumba, ndiye aliyepokea maandamano ya wafanyakazi na wadau wa maendeleo Mkoani Ruvuma.

Risala ya wafanyakazi Mkoa wa Ruvuma ilisomwa na Katibu wa TUGHE Mkoa wa Ruvuma Ismail Mudathir, amesema katika sekta ya umma na binafsi mishahara haikidhi mahitaji ukilinganisha na kupanda kwa gharama za maisha.

Amezitaja baadhi ya changamoto hizo kuwa ni kutolipwa madeni ya uhamisho wa watumishi,baadhi ya watumishi kutopandishwa madaraja kwa wakati na baadhi ya waajiri kutolipa nauli za watumishi na mizigo yao wanapostaafu

Aidha wameiomba Serikali kupandisha mishahara kwa wafanyakazi.

Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Isabela Chilumba ametoa rai kwa watumishi kuwa na subira kwa sababu serikali ya Awamu ya sita imedhamiria kuboresha maslahi ya watumishi.

Hata hivyo amewaagiza waajiri kuhakikisha wanawalipa mafao na haki zao zote watumishi wanaostaafu na kuwaagiza waajiri kwenye Halmashauri na Taasisi zote za serikali kuacha kuchelewesha fedha za malipo ya likizo kwa watumishi wanaokwenda likizo

Watumishi wengi wamefurahishwa maadhimisho kufanyika Nyasa, kwa kuwa wameona baadhi ya vivutio vya Utalii kwa macho kama ziwa nyasa, Mlima Mbamba na Fukwe nzuri za Ziwa Nyasa na Milima ya Living stone na walikuwa wakionekana kuogelea, kupiga picha, na kupanda kwenye boti na kuzunguka Ziwani huku wakitalii.

Wafanyabiashara wameitumia vizuri fursa ya kuuza biodhaa zao huku wakisema tunnatamani maadhimisho haya yafanyike kila uwezekano unapotokea.

Aidha burudani za ngoma za asili, kioda,kupiga kasia,kuogelea, kuvuta kamba kufukuza kuku na kwaya ni baadhi burudani zilizopendezesha maadhimisho hayo ya Mei mosi 2021 Wilayani hapa

Sherehe zimefana Na wananyasa wamefurahi.Asanteni wote waliofanikisha maadhimisho hayo.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Mhandisi Stella Manyanya yatatua kero ya wanafunzi kutembea km 30 kufuata shule ya Sekondari

    June 07, 2023
  • Tunaimani na Serikali, wananchi wa Kata ya Mtipwili na Chiwanda

    June 07, 2023
  • Dc Nyasa atembelea miradi ya Boost awataka mafundi kukamilisha Kwa wakati na ubora

    June 05, 2023
  • Mbunge Manyanya aridhishwa na Kasi ya ukuaji wa Utalii Wilayani Nyasa

    June 05, 2023
  • View All

Video

NYASA yampongeza Rais SAMIA jengo jipya la Utawala
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.