• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WILAYA ya Nyasa yaadhimisha juma la maadhimisho ya Miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania bara kwa kufanya usafi na kutangaza mafanikio Radio Unyanja.

Posted on: December 3rd, 2022

Wilaya ya Nyasa tar. 03/12/2022 imeendelea kuadhimisha juma la maadhimisho ya sikukuu ya miaka 61 ya Tanzania Bara kwa kufanya usafi wa mazingira, kupanda miti katika Hospitali ya Wilaya ya Nyasa na wakuu wa Idara na Taasisi wametangaza  mafanikio yaliyopatikana katika sekta Mbalimbali katika Radio Unyanja fm.

Kaimu katibu Tawala wa Wilaya ya Nyasa Ndugu Paul Lugongo, ni kiongozi aliyeongoza mazoezi haya ikiwa ni juma la maadhimisho ya miaka 61 ya   Uhuru wa Tanzania Bara.

Akihitimisha shughuli ya Usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Nyasa iliyopo katika Kijiji cha Nangombo Wilayani hapa, amesema Serikali imefanya mambo makubwa Wilayani Nyasa, imetekeleza miradi ya maendeleo mingi tangu kupatikana kwa Uhuru wa Tanzania bara, hatuna budi kila mwananchi anatakiwa kuyaenzi kwa kushiriki shughuli mbalimbali za utekelezaji miradi ya maendeleo.

Ameongeza kuwa Wilaya ya Nyasa ni miongoni mwa Wilaya ambazo ziko pembezoni mwa nchi, lakini Serikali imeweza kuleta huduma zote za msingi za afya, elimu, umeme na sekta zote muhimu.

Ametoa rai kwa wananchi kuenzi miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania bara kwa kufanya kazi kwa bidii na kulinda amani ya Tanzania.

Naye Mkurugezi mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa ndugu Jimson Mhagama, amewapongeza wananchi wote waliohudhuria kufanya usafi na amesema maadhimisho haya yanawaleta wananchi karibu, ili waweze kushiriki kikamilifu kutekeleza miradi ya maendeleo Wilayani Nyasa.

Baada ya kukamilisha shughuli za usafi, wakuu wa Taasisi na Divisheni walitoa mada zinazohusu mafanikio ya sekta mbalimbali katika Radio ya Kijamii ya Unyanja Fm kwa lengo la kutangaza mafanikio yaliyopatikana Wilayani Nyasa, kipindi cha masaa mawili kilchoandaliwa kwa ushirikiano wa Wilaya ya Nyasa na Radio Unyanja.

Meneja wa Wakala wa barabara za mijini na Vijijini (TARURA) Thomas Kitusi amesema Serikali imefungua barabara nyingi za Wilaya ya Nyasa ambazo tangu Uhuru hazikuwepo, ametoa mfano wa Barabara hizo ni Njambe Ndonga,Mpepo Darpori, Lumeme Mtipwili na Mbinga mbamba bay na kufanya maisha ya wana nyasa kuwa mazuri.

Wakuu wa Divisheni ya mipango,Maendeleo ya Jamii, Kilimo,umwagiliaji shirika uvuvi na mifugo Afya na Maliasili waliwaeleza wananchi mafanikio yaliyopatikana Wilayani Nyasa.

Imeandaliwa na Netho Credo Sichali

Afisa Habari (W) Nyasa,

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wilaya ya Nyasa

Announcements

  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • ORODHA ya Watumishi wanaodai malimbikizo ya Mshahara February 08, 2023
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • TANGAZO LA KULIPA KODI YA ARDHI August 30, 2021
  • View All

Latest News

  • MV MBEYA II

    March 23, 2023
  • Wizara ya Afya yatoa mafunzo ya kuzuia na kupambana na magonjwa ya Mlipuko Wilayani Nyasa

    March 21, 2023
  • Nyasa yapewa milioni 800 Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

    March 21, 2023
  • Wananchi Nyasa waishukuru Serikali Kwa kufungua Barabara

    March 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yafunguka Kimataifa
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.