• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WILAYA ya Nyasa yaadhimisha siku ya Wazee Duniani

Posted on: October 1st, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa tar 01.10.2022 imeadhimisha Siku ya Wazee iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hospitali ya Wilaya ya Nyasa iliyopo Kijiji cha Nangombo Wilayani hapa.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho hayo ni Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Nyasa Bw. Paul Lugongo,Akizungumza na Wazee Wa Wilaya ya Nyasa katika maadhimisho hayo amewapongeza kwa kuadhimisha siku yao, na kuwaambia kuwa Serikali inawathamini na inatambua mchango wao katika maendeleo ya Nchi.

Ameongeza kuwa  Serikali inaendelea kuboresha Huduma mbalimbali ikiwemo ya  Afya kwa wazee kwa kutoa kadi maalum zinazowawezesha kupata matibabu bure,kutoka Vituo vya Afya zahanati na Hospitali ya Wilaya.

Aidha amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa kuhakikisha kuwa,Ifikapo tar,25 Octoba mwaka huu kuunda Baraza la Wazee la Wilaya,kutoa vitambulisho kwa Wazee wote ili watibiwe bure na kuhakikisha wanaweka utaratibu mzuri wa matibabu kwa wazee wote, Wilayani Nyasa.

Awali, Risala ya wazee imetaja changamoto wanazokutana nazo ni baadhi ya wazee kutokuwa na Vitambulisho, kutokuuwa na mabaraza ya wazee na wazee kutofanyika vikao mara kwa mara.

Aidha wameomba kuwe na nafasi maalum Bungeni ya Wazee ambao watakuwa wanatetea Haki za Wazee.

Shughuli mbalimbali zimefanyika katika maadhimisho hayo ikiwemo upimaji wa magonjwa mbalimbali Kwa wazee,kutoa elimu ya ukatili na jinsi ya kuepuka na kupambana na magonjwa Mbalimbali.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Mhandisi Stella Manyanya yatatua kero ya wanafunzi kutembea km 30 kufuata shule ya Sekondari

    June 07, 2023
  • Tunaimani na Serikali, wananchi wa Kata ya Mtipwili na Chiwanda

    June 07, 2023
  • Dc Nyasa atembelea miradi ya Boost awataka mafundi kukamilisha Kwa wakati na ubora

    June 05, 2023
  • Mbunge Manyanya aridhishwa na Kasi ya ukuaji wa Utalii Wilayani Nyasa

    June 05, 2023
  • View All

Video

NYASA yampongeza Rais SAMIA jengo jipya la Utawala
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.