• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Wilaya ya Nyasa yafanya tamasha la michezo kuadhimisha juma la miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania bara

Posted on: December 8th, 2022

Wilaya ya Nyasa Tarehe 08/12/2022 imefanya tamasha la michezo Kwa kizikutanisha timu nne za Taasisi za Serikali lengo la Tamasha Hilo la Mpira wa miguu ni kuadhimisha juma la miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania bara.

Tamasha limefanyika katika uwanja wa shule ya Msingi Kilosa Wilayani Nyasa Kwa kizikutanisha timu za Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa,timu ya Shirika la umeme Tanzania, RUWASA Nyasa,na timu ya Jeshi la wananchi Wilayani hapa.

Timu ya RUWASA Nyasa imepambana na timu ya Jeshi la wananchi kiteule Cha Kilosa na matokeo ni timu ya RUWASA Nyasa imewafunga wanajeshi hao BAO Moja bila.

Mchezo wa Timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa na Tannesco Nyasa imefunagana Kwa penati 9 Kwa kumi ambapo timu ya Tannesco wameshinda Kwa mikwaju ya penati baada ya kutoka Suluhu ya bila kufungana.

Mgeni rasmi katika Tamasha Hilo alikuwa Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Nyasa Ndugu Paul Lugongo aliyewataka wananchi kusheherekea juma la miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania bara kwa kufanya kazi Kwa bidii na kushiriki shughuli mbalimbali zinazofanyika Wilayani hapa.

Announcements

  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • ORODHA ya Watumishi wanaodai malimbikizo ya Mshahara February 08, 2023
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • TANGAZO LA KULIPA KODI YA ARDHI August 30, 2021
  • View All

Latest News

  • MV MBEYA II

    March 23, 2023
  • Wizara ya Afya yatoa mafunzo ya kuzuia na kupambana na magonjwa ya Mlipuko Wilayani Nyasa

    March 21, 2023
  • Nyasa yapewa milioni 800 Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

    March 21, 2023
  • Wananchi Nyasa waishukuru Serikali Kwa kufungua Barabara

    March 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yafunguka Kimataifa
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.