• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Yaliyojiri Baraza la madiwani Wilaya ya Nyasa tarehe 16.05.2023

Posted on: May 16th, 2023

Yaliyojiri, Kikao Cha Baraza la madiwani Wilaya ya Nyasa kujadili taarifa za robo ya tatu(January -machi) tarehe 16/05/2023.

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa imefanya kikao Cha Baraza la madiwani ambacho kimejadili taarifa za robo ya tatu January -machi.

Kikao hiki kimefanyika katika Ukumbi wa jengo jipya la Utawala, Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa na kuongozwa na mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mh. Stewart Nombo.

Akifungua kikao ameipongeza Serikali ya JAMHURI ya muungano wa Tanzania ikiongozwa na Rais SAMIA SULUHU HASSAN Kwa kuipa miradi mbalimbali Wilaya ya Nyasa,hasa Ujenzi wa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa.

Ameipongeza Rais Kwa kuhakikisha Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kuhamia Ofisi mpya na kusema kuwa Kuna mabadiliko makubwa ya kimaendeleo Wilayani Nyasa.

Akitoa Salamu za Serikali Wilayani Nyasa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh.Filberto Sanga ameipongeza Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa Ndugu Jimson Mhagama Kwa kusimamia ujenzi wa  jengo la Utawala Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa mpaka kukamilika kwake.

Pia amewataka wananchi na viongozi kuendelelea kutekeleza miradi ya Maendeleo Wilayani Nyasa.

Amewapongeza wananchi na viongozi wa Wilaya ya Nyasa Kwa kushiriki mapokezi ya mbio za Mwenge wa UHURU 2023 na kupita salama.

Amewataka wananchi na viongozi kuhakikisha kuwa Ulinzi na usalama unaendelea kuimarika licha ya kuwa mpakani Kwa kuhakikisha hakuna raia wa nchi za nje atakayeingia katika nchi yetu.

Amewataka wananchi kuepuka ukatili wa kijinsia Kwa kuwalea watoto na kuzingatia maadili.

Mwisho amewataka viongozi wa vijiji na vitongoji kuzingatia maadili ili kuepukanana na migogoro na wananchi wanaotaka baadhi ya viongozi kujiudhuru kutokana na ukiukwaji wa maadili.

Amewataka wananchi kufuata taratibu ,kanuni ,na Sheria za kuwatoa madarakani viongozi wa vijiji na vitongoji.

Aidha amesema Wilaya ya Nyasa Iko salama.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wazindua Mtambo wa Hewa Tiba

    May 12, 2025
  • Mwenge wa Uhuru waridhishwa na miradi yote Nyasadc

    May 12, 2025
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.