• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

YALIYOJIRI Ziara ya Mwenyekiti wa Uwt Taifa Wilayani Nyasa

Posted on: July 28th, 2023

Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Taifa (UWT) wa chama Cha Mapinduzi ( CCM) Mery Chatanda akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali, Tarehe 28/07/2023 amefanya Ziara ya kikazi Wilayani Nyasa.

Akiwa Wilayani Nyasa Amekagua miradi ya Maendeleo ya Ujenzi wa Madarasa na mradi wa nyumba ya Mwalimu ikiwa ni mradi wa boost katika Shule ya msingi Lumeme na amekagua mradi wa Ujenzi wa jengo la dharula na kukabidhi Vitanda 30 na magodoro 30 na jenereta 1 katika Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

Aidha, amefanya mikutano miwili ya Hadhara katika Kata ya Lumeme na Mbamba bay.

Akiongea katika Mikutano ya Hadhara amesema ameridhishwa na Miradi inayotekelezwa na Serikali Wilayani nyasa na amempongeza Rais SAMIA Suluhu Hassan Kwa kuleta fedha za Maendeleo katika Wilaya ya Nyasa.

Amewata wananchi kushiriki katika USimamizi wa miradi,na kuhakikisha wanafunzi wanasoma Kwa bidii ili wafikie malengo ya Serikali ya kuboresha elimu, na kuwaagiza wazazi walezi kuhakikisha wanafuatilia Maendeleo ya watoto wao mashuleni.

Pia amewataka wazazi walezi kupinga ukatili wa watoto na kijinsia Kwa kutoa elimu na taarifa pale vinapotokea katika jamii.

Amesema Serikali inaendelea kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi.

Mwisho ametoa wito Kwa wananchi kuendelelea kukipenda Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kwa kuwa ni Chama pekee Tawala kinacholeta Maendeleo katika Nchi ya Tanzania.

Akizungumza katika mkutano huo Mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya amesema Wilaya ya Nyasa imekuwa ikipata fedha ya kutekeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo mikubwa na midogo hivyo anampongeza MH Dkt Rais SAMIA Suluhu Hassan Kwa miradi ya Maendeleo,aidha ameomba mradi wa maji katika kata ya Lumeme, Luhangarasi,Mpepo na Mipotopoto.

Naibu Waziri wa wizara ya Maji Maryprisca Mahundi akizungumza katika mkutano huo amesema Serikali inaendelea kutatua changamoto ya maji safi na salama Wilayani Nyasa Kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo,hata hivyo amesema atatatua changamoto hiyo,na Kwa kuanzia ameahidi milioni 110 kutoka Mfuko wa maji ili kutatua changamoto ya maji katika kata ya Lumeme Wilayani Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.